Anaitwa Sibusiso Mthembu, mwenye miaka 64, anaetokea south Afrika kwa zulu-natatal anasema ni kweli ameenda mbinguni mara 4.Nani ajuaye kama kweli alisha wahi kwenda huko,but inawezekana ikawa kweli pia,mara ya kwanza ilikuwa mwaka 1998 baaada ya hapo ailienda pia mwaka 2004,2006 na 2008.
Mchoro unaoonesha mbinguni
Sibusiso Mthembu katika pozi.
Yote hayo yalianza mwaka 1993,alipotembelewa na mtu mweupe(ina wezekana malaika) na akamwambia kwamba alikuwa anahitajika mbinguni.
Baada ya kutembea mbinguni alifanikiwa kuchora ramani ya huko na kutuletea sisi tusio na bahati hiyo ya kwenda mbinguni,ili tuweze kuamini ambacho ana kisema.
0 Response to " MAAJABU: KUTANA NA MWANAUME ALIYETEMBELEA MBINGUNI MARA NNE NA KUCHORA RAMANI"
Post a Comment