UHONDO WOTE

KUTANA NA QUEEN WA XXL YA CLOUDS FM, FATMA HASSAN AKA DJ FETTY

Huyu ni moja kati ya wadada watangazaji waredio ambao ni wakali (wanaofanya vizuri) sana hapa TZ….Utakubaliana na mimi kuwa huyu ndio queen wa kipindi cha XXL kinachorushwa na Clouds FM radio….Mbali ya kuwa na sauti ya kipekee na kisheko kinacho tuchanganya wengi wa jinsia yangu (Male)……she is also a DIVA……Jionee mwenyewe……then achia comment yako!!!

TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

Share Story hii:

Facebook Google+ Twitter

0 Response to "KUTANA NA QUEEN WA XXL YA CLOUDS FM, FATMA HASSAN AKA DJ FETTY"

Post a Comment