Home » HABARI
» SONGEA: BASI LA KAMPUNI YA SUPER FEO LAPINDUKA NA KUUA
SONGEA: BASI LA KAMPUNI YA SUPER FEO LAPINDUKA NA KUUA
Watu wawili wamefariki dunia na wengine zaidi ya 20 wamejuruhiwa baada ya basi la kampuni ya Super Feo kupinduka katika eneo la Sanangula nje kidogo ya mji wa Songea.
0 Response to "SONGEA: BASI LA KAMPUNI YA SUPER FEO LAPINDUKA NA KUUA"
Post a Comment