
Kutoka katika Gazeti la THE MIRROR: Kijana Kyle Jones, 31, kutoka Augusta, Georgia amekuwa na mahusiano ya KIMAPENZI na wabibi wenye miaka kati ya 71, 63, 61, 52 na 50.
Amekili kuwa na mahusiano na wabibi watano wakati fulani. Ila kwasasa yupo na kwenye mahusiano ya kimapenzi na bibi wa miaka 91 anaeitwa Marjorie McCool ...Duh na KWICH KWICH kama kawa!!!!!!
Akieleza kwanini anawapenda wazee alisema; "I like the neck lines and wrinkles"
yaani anapenda mikunjo na mistari ya kwenye shingo ya mabibi hao.
Kilicho Niuazaidi
Jamaa huwa anawapeleka kwa Mama yake amabae ana umri wa miaka 50..na MAZA hana NOMA wala nini...HATARI SANA ...
Jamaa akiwa na DEMU wake pamoja na MAZA
0 Response to "AGE IS JUST A NUMBER: JAMAA ATHIBITISHA HILO!!!!"
Post a Comment