UHONDO WOTE

MICHEPUKO: MUME AKUTA PICHA ZA MKEO KWENYE SIMU YA HOUSEBOY!!!!!!

Daah huu mkasa una TREND sana huko Nigeria.....Nimeona sio mbaya niulete hapa..ni yaleyale mabo ya #TEAM MICHEPUKO..hahahaha!!

Mr Kelechi ambae ni Afisa Msaafu wa Serikali, aliptwa na mshituko mkubwa hivi karibuni baada ya kuchukua simu ya mfanyakazi wake wakiume wa nyumbani yaani Houseboy, ili pige simu...baada ya simu yake kuishiwa muda wa maongezi (Cheka time ilipokwisha ...hehehe). Alichokiona kilimfanya asijielewe ...hakuamini kuwa mke wake alikuwa anafanya madhambi namna ile na kijana wakazi Uche ndani ya nyumba yake.

Kwasasa Mzee Kelechi na Uche wamegawana majengo ya Serikali , Mzee Kelechi yupo polisi na Uche yupo hospitali baada ya kupata kipigo kikali kutoka kwa  mzee.....Mkeo amekimbia nyumbani...Balaa hili jamani...BAKI NJIA KUU


Chanzo cha stori kinasema Uche alikuwa anawatumia marakifizake picha  hizo!!!



TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

Share Story hii:

Facebook Google+ Twitter

0 Response to "MICHEPUKO: MUME AKUTA PICHA ZA MKEO KWENYE SIMU YA HOUSEBOY!!!!!!"

Post a Comment