UHONDO WOTE

UPDATES ZA YANAYOJIRI KWENYE MAANDAMANO YA CHADEMA

Jeshi la polisi jijini Dar es Salaam limetumia mbwa na virungu kuwatanyama mamia ya wafuasi wa Chama Cha Demokrasia na Manendeleo Chadema ambao walifurika Makao Makuu ya Jeshi hilo kwa lengo la kumsindikiza Mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe, ambaye aliitwa kwa mahojiano.

Chanzo: ITV


PICHA ZAIDI

TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

Share Story hii:

Facebook Google+ Twitter

0 Response to "UPDATES ZA YANAYOJIRI KWENYE MAANDAMANO YA CHADEMA"

Post a Comment