Huyu dada alimfumania mumewe....matokeo yake mwanamke kapigwa na mumewe!.wanaume wakatili sana kwanza kamkosea mke wake kwa kumsaliti ...pili kapema kipigo kana kwamba yeye ndio kafumaniwa....jana hiyo...dada yupo hoi hospitali ya mwananyamala.....sasa kama wewe ndio huyu dada je ukipona utarudi kwa mume au utafanyaje?? BY USIPOJIPANGANTAKUPANGA
UNYAMA...MDADA ACHEZEA KICHAPO BAADA YA FUMANIZI!!!
Posted by Blog Admin
on Tuesday, September 16, 2014,
Add Comment
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Response to "UNYAMA...MDADA ACHEZEA KICHAPO BAADA YA FUMANIZI!!!"
Post a Comment