Daah hii ni NOUMA sana!! Kama mnavyojua tena mwanadada DIVA THE BAWSE alishatangaza kujito TEAM WEMA....Sasa hao wanaojiita Team wema huko INSTAGRAM ni nouma sana kwa KUCHAMBA watu.... ( Waulize PENNY, WOLPER, JOKATE, na KAJALA wanawajua hawa)...Wiki nzima iliopita wapo na DIVA (hadi leo)
Kwawkifupi ISHU ilianza mara baada ya DIVA kumsifia Davido kunyakua TUZO za MTV....Sasa TEAM WEMA wakaanza kumDIS DIVA kwa kila kitu...na kuazimia kutohudhuria SHOW yake iliyofanyika BILLZ jumapili iliyopita....Walidis sana picha za DIVA (Kuwa diva ni mbaya ..na picha zake za INSTAGRAM huwa ana EDIT kwanza au kutumia 3600 Camera ndio anaziweka ...lakini ukimuona LAIVU nitofauti na nimbaya...)
Sasa baada ya kutulia kwa siku moja mbili.....Jana ikaibuka hii....
Diva aliweka picha hii kwenye ukurasa wake wa INSTAGRAM (Leo nacheki nakuta Diva ameshaitoa...kazi kweli kweli).Nakuandika, watu wamuulize chochote yaan #ASKDIVA
Hapo ndipo moto ukawaka...watu wakaanza!! kuwa diva hana T*ko hilo bali ame EDIT...
Diva naye akaibuka nahiii!!!
Leo tena watu wameamka nahii
0 Response to "MKIA WA DIVA WAZUA BALAA KUBWA HUKO INSTAGRAM!!!...FAINDI AUTI"
Post a Comment