Dah...Hii ni kutoka Nigeria...kikundi ya wanawake wanaojiuza (Hiki maarufu sana siunakumbuka waliwaahaidi nini wachezaji wa timu yao ya taifa)...hehehe TURUDI KWNYE MADA
Kikundi hicho kijulikanacho kama Association of Nigerian Prostitutes, ANP, kimetoa tamko kuwatahadhalisha wanachama wake ambao ni machangudoa nchini humo kuwa wajihadhari na EBOLA hivyo basi wasijihusishe na kazi hiyo kwa muda....wakati tamko hilo linatolewa na viongozi wao baada ya kikao chao....huku mitaani madada poa wanalia kutokanana na kile wanachodai kuwa wateja wamekuwa hadimu sana..na hivyo kupelekea maisha yao kuwa magumu....Kazi ipo
0 Response to "MADADA POA WALIA KUKOSA SOKA...KISA EBOLA....."
Post a Comment