UHONDO WOTE

BREAKING NEWS:BASI LA AIR BUS KUTOKA DAR ES SALAAM KWENDA TABORA LIMEPATA AJALI


Habari za hivi punde!! Ajali nyingine mbaya maeneo ya Kiegeya Gairo, gari la abiria kutoka dar-tabora limepata ajali mbaya kiasi kwamba watu karibia 48 wamepoteza maisha. Ni dakika 6 zilizopita. Picha hazifai kuonwa na mimi niko eneo la tukio kwa ajili ya uokozi..Viongozi Mbali mbali wa Serikali tunao hapa..Kwakweli ni majonzi vilio.
Air bus dar-tabora muda huu


Jamii Forums
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

Share Story hii:

Facebook Google+ Twitter

0 Response to "BREAKING NEWS:BASI LA AIR BUS KUTOKA DAR ES SALAAM KWENDA TABORA LIMEPATA AJALI"

Post a Comment