Hatimaye Diamond Platnumz amefunguka kuhusu tetesi zinazoendelea kuwa ameachana na Wema Sepetu na kwamba ana mpango wa kufunga ndoa na Meninah Diamond alisema kuwa tetesi hizo zimekuwa zikimhuzunisha kwa kiasi kikubwa. “Unajua hizi habari kiukweli zimekuwa zikinihuzunisha sana,” amesema msanii huyo. “Unajua mie ni mtu mmoja ambaye sipendi kuzunguzia mambo ya rumors, siju magazeti huwa sipendi kuzungumzia kabisa, kwa kuwa najua kabisa siwezi kubishana na media kwakuwa media ni kubwa, maana najua utaongea na huyu na yule siku ya siku utagombana na watu. Ndio maana huwa nakaa kimya,” ameongeza “Kusema ukweli hili suala limekuwa likiniumiza ‘eti sijui kuna vikao vya harusi mie nataka kumuoa Meninah’ Kusema ukweli sina mahusiano na Meninah. Kila mtu anajua mie nina mahisiano Wema. Wema ndo mpenzi wangu, ila wakati mwingine nakuwa naelewa ile inakuwa ni trick ya kibiashara. Mtu anajua hata nikimuandika vipi ‘Diamond sijui kafanya nini watu hawawezi kumchukia! Kwahiyo wanaamua kunitengenezea chuki na maadui kwa watu kuwa nipo na mwanamke wangu halafu namsaliti.”Meninah “Unajua kitendo hicho hatamaye kinaniudhi naona mtu yupo na mpenzi wake halafu anamsaliti. Najua hicho ni kitendo ambacho kila mtu hakimpendezi. Kwahiyo wanaamua kunitengenezea chuki na maadui kupitia njia hiyo. Labda wana wasanii wao, sasa wanaona tukiingia kwa njia hii tutaweza kuamharibia Diamond. Ndioa siku zote nimekuwa kimya tu ila sina mahusiano na Meninah. Mie nikiwa na mtu huwa sifichi naweka wazi kabisa. Hata kama leo nimeachana na Wema nasema tu, why nifiche? Mie katika mambo yangu huwa simuogopi mtu kama ningekuwa nataka kuoa basi ninge weka wazi why nifiche?? MSIMAMO WANGU➡1.SITAONGELEA TETESI ZA HAYA MAHUSIANO SBB MAPENZI HAYAINGILIWI..2.SITAPIGA KURA WALA SITAPROMOTE UPIGAJI KURA KWA DAI MPK WEMA ATAKAPOFUNGUKA! 3.UKIMKASHFU WEMA SITAKUACHA!!💪 From ma bebe @usipojipangantakupanga
Home » UDAKU
Showing posts with label UDAKU. Show all posts
Showing posts with label UDAKU. Show all posts
HATIMAYE DIAMOND PLATNUMZ AFUNGUKA KUHUSU MAHUSIANO YAKE NA MENINAH
Posted by Blog Admin
at 4:07 AM,
Add Comment
Read more
PICHAZ: HAPA BONGO KUNA MASOGANGE, KENYA KUNA HUDDAH,VERA NA CORAZON...SASA GHANA KUNA HUYU...ANAITWA HAJIIA...
Posted by Blog Admin
at 9:12 AM,
Add Comment
Read more
UKITAKA KUOA....MUANGALIE KWANZA MAMAMKWE.....CHEKI PICHA
Posted by Blog Admin
at 3:08 PM,
Add Comment
Read more
POMBE NINOMA SANA....BAADA YA KUNYWA POMBE KUPITA KIASI
PICHA ZAIDI (WAKUBWA TUU!!>>>>NEXT PHOTO
Posted by Blog Admin
at 2:56 PM,
Add Comment
Read more
VIDEO YA UTUPU ILIYO LEAK MTANDAONI YAMTESA MSANII NYOTA NDOGO
Mwanamuziki makubwa hapa Afrika Mashariki, Nyota Ndogo kutoka nchini Kenya amejikuta katika wakati mugumu baada ya kugundua kuwa amerekodiwa video kwa siri wakati yupo chumbani anapaka mafuta huku akiwa MTUPU. Hii ilitokea baadaa kumaliza KUPAFOMU na kupelekwa CHANGING ROOM ambako ndiko video hii ilichukuliwa kwa siri.
Soma hapa alichoandika kwenye ukurasa wake wa FACEBOOK
Naomba hii iwefundisho kwa wasanii wote wakike. Pole sana Nyota Ndogo....Daah ila isiwe mambo ya kutafuta.....Kozi umepoatea sana kwenye GEMU
Posted by Blog Admin
at 11:10 AM,
Add Comment
Read more
KUTANA NA MANZI WA MSANII JOSE CHAMELEONE!!!..[PICHA]
Posted by Blog Admin
at 12:15 PM,
Add Comment
Read more
MSANII MEZ B, MTOTO WA MCHUNGAJI AKIWA NA TOTO MBILI NYONYO NJE NJEEEE TAYARI AMESHAMJUA M'BAYA WAKE ALIYEVUJISHA HIZI PICHA
Kumbe ilikua mwaka Jana wakati Ana shoot Video ya Shemeji maeneo ya Mikadi Beach alipomaliza wakatokeza hao wadada wawili inaonekana ni MTU Na Dada Yake maana wamefananaàa shingo zao Kama jogoo, walikua wanaogelea eti wakamwomba wapige picha Mez B akachomoa lakin wadada wakaendelea kusisitiza eti Director wake Wa Video akam ng'ata sikio kuwa wakubali kupga picha Kwa Camera Ya Director Kwa ahadi kuwa wakitoka hapo atazi delete, picha zikapigwa Na MezB anakuja kushtuka HV karibun wakat picha zimevuja Na alipomuuliza Director akamjibu kuwa huenda kijana flan ambaye alikua anafanya kazi Na Producer ndio atakua amevujisha picha Kwa sababu walikua wamegombana Na Director, Mama Mez B ambaye ni Mchungaji bado hajazipata taarifa hizi Je akizpata itakuaje?
CHANZO: SOUDBROWN via INSTAGRAM
Posted by Blog Admin
at 9:24 AM,
Add Comment
Read more
PENZI LA DIVA NA GK MTEGONI!!!.....KISA...... PICHA INSTAGRAM
Penzi la mastaa wetu wa bongo, Diva ambaye ni mtangazaji wa Clouds FM na King Crazy GK ambaye ni msanii wa bongo flava....Limeingia kwenye mtego baada ya Diva kuweka PICHA kwenye ukurasa wake wa INSTAGRAM akiwa ana KISS na mfanyakazi mwenzake a k a Handsome wa Cloudsfm....PATAMU HAPO...Katika kuelewa kuwa picha hii ni tata, Diva aliandika maneno haya jini ya picha hiyo;
handsome boy wa cloudsfm ... My baby akiona hii Picha je? unahisi atakasirika au?! lol...Tunasubiri kusikia upande wa GK.......Dah!! ila huyu mdada PRESHAPRESHA
Posted by Blog Admin
at 1:47 PM,
Add Comment
Read more
Subscribe to:
Posts (Atom)