UHONDO WOTE
Showing posts with label HABARI. Show all posts
Showing posts with label HABARI. Show all posts

CHUI AMUUA MWANAFUNZI

Chui Buka au 'Tiger', amemshambulia na kumuua mwanafunzi nchini India katika hifadhi ya wanyamapori ya Delhi.

Msimamizi wa mbuga

hiyo Riaz Khan amesema mvulana huyo alikuwa amevuka ua unaomfungia Chui huyo hatari.
Ripoti za mwanzoni zilimtaja mvulana huyo kuwa mwanafunzi.
Picha za televisheni zilionyesha mwanafunzi huyo akiwa amejibana ukutani akijaribu kujikinga huku Chui huyo akiwa amesimama karibu naye.
Kwa mujibu wa mtu mmoja aliyeshuhudia tukio hilo, mvulana huyo alikuwa amejiegemeza kwenye ua huo uliokuwa mfupi sana.
''Mwendo wa saa saba unusu tulikuwa katika eneo lililo na wanyama wengine tuliposikia mayowe," Himanshu aliyeshuhudia tukio hilo aliambia CNN.
''Nilikimbia nikielekea eneo ambalo Chui huyo alikuwa amefungiwa, nikapata Chui Buka mweupe amemuuma mwanafunzi huyo shingoni huku akilia na kufurukuta kwa uchungu.
Watoto wengine walijaribu kumrushia chui huyo vijiti na mawe.
Mvulana huyo aliumia kwa zaidi ya dakika kumi bila yeyote kumsaidia"


Himanshu alisema polisi walifika ''haraka sana" lakini hawangeweza kumwokoa kijana huyo.
Kituo cha habari cha Reuters kilimnukuu mwelekezi wa hifadhi ya kitaifa ya wanyamapori ambayo inasimamia mbuga ya Delhi bw. Amitabh Agnihotri, akisema ameshtuliwa sana na kisa hicho.
''Bado sina uhakika kama kijana huyo aliruka ndani ya mbuga ama aliteleza kibahati mbaya," aliongeza.
Mwili huo umepelekwa kufanyiwa upasuaji ili kuthibitisha kilichotendeka huku polisi wakianzisha uchuguzi kuhusu tukio hilo.
bbc swahili

OBAMA AAPA KUANGAMIZA ISLAMIC STATE


Rais wa Marekani Barack Obama amesema Marekani itashambulia kundi linalojiitaa Islamic state kote nchini Syria na Iraq ili kuwanyima kabisa makao ya kujificha .

Bw Obama amesema kushiriki kwa mataifa kadhaa ya kiarabu katika mapambano hayo kunaonyesha wazi hivyo si vita vya Marekani pekee bali wao ni sehemu ya muungano wa mataifa yanayopigana na kundi hilo liitwalo pia ISIL.

Pia amekiri kuwa mashambulio hayo yamelenga pia wale aliowataja kuwa wanamgambo sugu wa al Qaeda wa kundi liitwalo Khorasan ambao anasema wanalenga kuishambulia Marekani.
Nazo taarifa za jeshi la Marekani zasema malengo ya mashambulio yaliyofanywa yametimia.

Wanamgambo kadhaa wa IS wameripotiwa kuuliwa japo vifo vya raia pia vimeripotiwa.


Mapema msemaji wa wizara ya mambo ya nje wa Urusi Alexander Lukashevichy amesema mashambulio yoyote dhidi ya ISIL ni sharti yazingatie sheria za kimataifa.

Kadhalika Obama, amesema kuwa kuhusika kwa nchi za kiarabu katika vita dhidi ya wanamgambo wa Islamic State nchini Syria ni dalili toshja kuwa vita hivi sio vya Marekani pekee.

Obama amesema ataendelea kukusanya jeshi la kimataifa dhidi ya wapiganaji hao.
Saudi Arabia, Milki za kiarabu,Jordan na Bahrain zote zilituma ndege za kijeshiu katika opereshei hiyo.

BBC SWAHILI

TANYA AIGIZA AKIWA MTUPU KWENYE SCENE YA HOUSE OF LUNGULA

Mwanadada Saraha Hassan a.k.a Tanya kutoka Kenya ameigiza akiwa utupu kwenye moja kati ya vipande (scenes) za vichekesho vya mapenzi nchini Kenya, vijulikanavyo kama HOUSE OF LUNGULA...Vichekesho hivyo kwasasa vimepigwa marufuku kuonyeshwa kwenye TV za Kenya.
Tangazo la vichekesho hivyo linapatikana YOUTUBE ambapo ni zaidi ya watu laki moja hulitazama kila baada ya muda mfupi.
Unaweza kutazama  "House of Lungula” kwa  dola 3.99 kupitia BUNI TV, kwa link hii www.buni.tv/lungula

ZAIDI

HIZI CHUPI (G-STRING) MPYA ZA KIKE NI SHIDAA......[KWA WANAWAKE TU]

Kama kawaida tasnia ya FASHENI inabadirika kila siku...Lakini huu ujio wa hizi  CHUPI zinazoitwa Shibue Strapless Panty ni Nouma......Hizi wameziita ni chupi za miujiza, kwani zimetengenegwa kwa MATIRIO ambayo huweza kukabiliana na  mabadiliko ya  MAKAO MAKUU katika hali yoyote ile .....hehehee....hivyo kumfanya mwanamke awe COMFOTABO  (Kama unavyojua tena makaomakuu kuma mengi pale). Tofauti na chupi zingine aina ya G-String chupi hizi huwaliawa kuanzia juu ya Uke na mpaka kwenye mwisho wa uti wamgongo...Jionee picha  hapa.. Then niambie unaona vipi...

 Uvaaji wake sasa

 

MTUME PETER RASHID ABUBAKAR AOA MKE WA PILI


Mtume Peter Rashid Abubakari, kiongozi wa kanisa la RGC lililoko Mbezi Kimara Dar Es Salaam, ameamua kumuacha mke wake Bi Zuwena (Catherine) aliyeoana naye tangu mwaka 1985.

 Alipohojiwa inakuwaje kwa nini amuache na kumuoa Pamela Didas Asenga, binti mdogo wa miaka 20, alidai ndoa yake hiyo ya mwanzo haikuwa halali kwa kuwa alioa akiwa bado mwislamu na alifungishwa na shehe! Kwa hiyo mungu amemfunulia na amempa mke mwingine mwema! 

 Ndoa hiyo ilifungwa tarehe 29/08/2014, ilifungishwa na Askofu Innocent Lugagi, wa kanisa la White House la Durban Afrika Kusini! Mtume Peter Rashid Abubakar baada tu ya kutoka kufunga ndoa yake South Afrika amerudi nchini Tanzania na Jumapili akiwa kanisani kwake awatangazia waumini wake kuwa kama una mke ambaye mlichukuana wakati wa ujinga wenu na umekaa naye miaka mitatu au zaidi na hana tabia ya kimungu mkorofi na mchokozi na hujafunga naye ndoa ACHANA NAYE ILI MUNGU AKUPE MKE MWEMA. 

Na mwanamke naye vilevile. Alipohojiwa na mmojawapo wa marafiki zake aliyeshangazwa na tukio hilo, kwenye ukurasa wake wa Facebook mtume huyo alijibu hivi: “…… tafsiri ya mke ni yule uliyefunga naye ndoa kanisani au kwa DC 1Kor 7:15. Huyo nilikuwa nazini naye tu!! Mungu aliponifunulia siri hiyo nikatubu na kumuomba Mungu anipe mke mwema na amenipa.”

UPDATES ZA YANAYOJIRI KWENYE MAANDAMANO YA CHADEMA

Jeshi la polisi jijini Dar es Salaam limetumia mbwa na virungu kuwatanyama mamia ya wafuasi wa Chama Cha Demokrasia na Manendeleo Chadema ambao walifurika Makao Makuu ya Jeshi hilo kwa lengo la kumsindikiza Mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe, ambaye aliitwa kwa mahojiano.

Chanzo: ITV


PICHA ZAIDI

UNYAMA...MDADA ACHEZEA KICHAPO BAADA YA FUMANIZI!!!

Hizi ni repoti kutoka huko instagram!!!!

Huyu dada alimfumania mumewe....matokeo yake mwanamke kapigwa na mumewe!.wanaume wakatili sana kwanza kamkosea mke wake kwa kumsaliti ...pili kapema kipigo kana kwamba yeye ndio kafumaniwa....jana hiyo...dada yupo hoi hospitali ya mwananyamala.....sasa kama wewe ndio huyu dada je ukipona utarudi kwa mume au utafanyaje?? BY USIPOJIPANGANTAKUPANGA




WEMA: NAJITAHIDI SANA KUMFURAHISHA DIAMOND